Nifahari kubwa kuona ngoma za nyumbani zinapata airtime katika vituo vikubwa vya TV kama Trace TV na Mtv Base leo July 29 2016 zimetajwa ngoma 6 za  kitanzania ambazo ni  ‘Niroge‘wa Vanessa mdee, Zigo Remix ya AYft Diamond Platnumz, ‘Please don’t go away’ ya Mayunga ft Akon, Ibaki story’ ya Rich Mavoko, ‘Aje‘ ya Alikiba, ‘Kidogo’ yaDiamond Platnumz ft Psquare.




Post a Comment

 
Top